ZAKARIA 6 - Swahili Congo Revised Bible 2002

Maono ya nane: Magari ya vita

1Niliona maono mengine tena. Niliona magari mane ya vita yakitoka katikati ya milima miwili ya shaba nyeusi.

2Gari la kwanza lilikokotwa na farasi wekundu, la pili lilikokotwa na farasi weusi, Yoshua anavalishwa taji

9Neno la Yawe lilinifikia kusema hivi:

10Pokea zawadi za watu wanaokuwa katika uhamisho zilizoletwa na Heldai, Tobia na Yedaya. Kwenda leo hii katika nyumba ya Yosia mwana wa Zefania ambamo watu hao wamekwenda mbele ya kufika kutoka Babeli.

11Utatwaa feza na zahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamuvalisha Kuhani Mukubwa Yoshua mwana wa Yosadaki,

12na kumwambia kwamba Yawe wa majeshi anasema hivi: Hapa kuna mutu anayeitwa Tawi. Yeye atastawi pale anapokuwa na kulijenga hekalu la Yawe. Ang. Yer 23.5; 33.15; Zak 3.8

13Yeye ndiye atakayelijenga hekalu la Yawe. Atapewa heshima ya kifalme na kuikaa kwenye kiti chake cha kifalme kuwatawala watu wake. Kuhani Mukubwa ataikaa karibu na kiti cha kifalme cha mutawala yule, nao wawili watafanya kazi pamoja kwa amani.

14Taji hiyo italindwa katika hekalu la Yawe kwa heshima ya Heldai, Tobia, Yedaya na Yosia mwana wa Zefania.

15Watu wanaokaa katika inchi za mbali watakuja kusaidia kwa kulijenga hekalu langu mimi Yawe. Nanyi mutajua kwamba Yawe wa majeshi, ndiye aliyenituma kwenu. Haya yote yatatukia kama mukiitii sauti ya Yawe, Mungu wenu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help