2 Mambo ya Siku UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002

UTANGULIZIKitabu hiki cha pili cha Mambo ya Siku kinaendelesha masimulizi yale yaliyoachwa na kile cha kwanza. Kinaanza kwa kueleza utawala wa Solomono mpaka kufa kwake. Kisha kinasema juu ya uasi wa utawala wa makabila ya kaskazini. Kinaendelea zaidi kusimulia habari za ufalme wa kusini wa Yuda mpaka wakati wa kuharibiwa kwa muji wa Yerusalema katika mwaka 586 mbele ya Kristo.Aya za mwisho za kitabu hiki zinapatana na mwanzo wa kitabu cha Ezra.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help