1 Samweli UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002

UTANGULIZINabii Samweli ambaye jina lake lilipewa kwa kitabu hiki na kile cha pili kinachofuata, alikuwa mumoja wa “Waamuzi” wa mwisho ambao Mungu aliwapatia watu wake. Kitabu hiki kinasema juu ya kuanzishwa kwa utawala wa kifalme katika inchi ya Israeli.Kitabu hiki cha kwanza cha Samweli kina sehemu tatu:Sura 1-7: Zinaelekea hasa Samweli mwenyewe.Sura 8-15: Samweli na Saulo.Sura 16-37: Saulo na Daudi.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help