2 Samweli UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002
UTANGULIZIKitabu hiki kinaweza kugawanyika kama hivi:Sura 1-8: Kuimarika kwa utawala wa Daudi.Sura 9-20: Utawala wa Daudi na ushindi juu ya waadui.Sura 21-24: Nyakati za nyuma za utawala wa Daudi.