Obadia UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002

UTANGULIZIKitabu hiki cha nabii Obadia ni kidogo kuliko vitabu vyote vya manabii. Unabii wa Obadia unashugulikia mambo mawili: azabu ya taifa la Edomu (aya 1-14), na Siku ya Yawe ambapo Waisraeli watalipiza kisasi watu wa Edomu. Labda kitabu hiki kidogo sana kiliandikwa kule katika inchi ya Yuda muda mufupi mbele ya kurudi kutoka katika uhamisho.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help