Maombolezo UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002

UTANGULIZIKitabu hiki kidogo cha Maombolezo ni mukusanyiko wa mashairi tano, ambamo mwandishi anaomboleza juu ya kuteketezwa kwa Yerusalema mwaka 586 mbele ya Kristo. Katika ibada za Wayuda mashairi hayo yalitumiwa kila mwaka kwa wakati wa kukumbuka kuharibiwa kwa hekalu la kwanza.Mashairi ine ya kwanza katika Kiebrania yameandikwa kwa kufuata utaratibu wa alfabeti 22 za Kiebrania. Kutokana na matengeneo hayo, sura 1, 2 na 4 zina aya 22, wakati sura ya 3 ina aya 66.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help