Danieli UTANGULIZI - Swahili Congo Revised Bible 2002

UTANGULIZISehemu mbili zinaonekana wazi katika kitabu hiki:Sura 1-6. Ni juu ya mambo yaliyowapata Danieli na warafiki zake katika uhamisho wa Wayuda kule Babeli karibu na miaka mia sita mbele ya Kristo. Waliokolewa kutoka mambo mbalimbali ya taabu kwa sababu ya tegemeo lao kwa Mungu na utii wao uliolingana na imani yao.Sura 7-12. Sehemu hii inatupatia maono mbalimbali ya Danieli ambamo tawala fulani za ulimwengu wa nyakati hizo zinahusika: Babeli, Medi, Persia na Ugriki. Maono yote yanaeleza kwa mifano na maelezo.
Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help