Ufunuo 22 - Swahili Roehl Bible 1937

Mto na miti ya uzima.

1Kisha akanionyesha mto wa maji ya uzima wenye kumetuka kama kito, ulitoka penye kiti cha kifalme cha Mungu na cha Mwana kondoo.Umtambikie Mungu peke yake!

6Kisha akaniambia: Maneno haya yapasa kutegemewa, maana ni ya kweli, naye Bwana Mungu wa roho za wafumbuaji amemtuma malaika wake, awaonyeshe watumwa wake yatakayofanyika upesi.Msiongeze neno, wala msipunguze neno!

18Mimi namshuhudia kila ayasikiaye maneno ya ufumbuo wa kitabu hiki: Mtu atakayeyaongeza maneno haya, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

20Anayeyashuhudia haya anasema: Kweli, ninakuja upesi, Amin. Njoo, Bwana Yesu!

21Upole wa Bwana Yesu uwakalie ninyi nyote! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help