1Mheshimuni Bwana, mlio wana wa Mungu! Mheshimuni Bwana kuwa mtukufu na mnguvu!
3Sauti ya Bwana husikilika hata baharini, Mungu mwenye utukufu ndiye apigishaye nayo ngurumo. Nako kwenye vilindi vya bahari ndiko, aliko Bwana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.