1Watu walipoanza kuwa wengi katika nchi, nao wna wa kike walipozaliwa kwao,Mungu anamfumbulia Noa atakayoyafanya.
13Ndipo, Mungu alipomwambia Noa: Mwisho wao wote wenye miili umefika machoni pangu, kwani wameijaza nchi makorofi yao, kwa hiyo wataniona, nikiwaangamiza pamoja na nchi.Amo. 8:2.
14Jitengenezee chombo kikubwa sana cha miti ya mivinje! Humo chomboni ndani ukate vyumba! Kisha kipake lami upande wa ndani nao wa nje!
15Navyo ndivyo, utakavyokitengeneza: urefu wa hicho chombo uwe mikono 30, nao upana wake mikono 50, nao urefu wake wa kwenda juu mikono 300.
16Juu yake hicho chombo utengeneze mahali pa kuingizia mwanga, upana wake uwe mkono mmoja; napo upafanye, pazunguke huko juu, nao mlango wa chombo uweke mbavuni pake! Utengeneze nayo madari matatu, la chini, la kati, la juu!
17Kwani tazama: Mimi nitaleta mafuriko ya maji juu ya nchi, niwaangamize wote wenye miili walio na pumzi za uzima, walioko chini ya mbingu; wote pia wanaokaa katika nchi sharti wafe.
18Lakini wewe nitakuwekea agano: Utaingia mle chomboni, wewe na wanao na mkeo nao wake wa wanao pamoja na wewe.
19Tena miongoni mwao nyama wote wenye miili utaingiza mle chomboni wawili wawili, wa kiume na wa kike, niwaponye pamoja na wewe,
20nao ndege wa kila namna nao nyama wa nyumbani wa kila namna, nao wadudu wote wa nchi wa kila namna; wao wote na waingie kwako wawili wawili, niwaponye.
21Kisha wewe jichukulie vilaji vyote vinavyoliwa, uvikusanye kwako, viwe chakula chako wewe nacho chao.
22Nao akayafanya yote; kama Mungu alivyomwagiza, ndivyo, alivyoyafanya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.