1*Jivueni uovu wote na udanganyi wote na ujanja na kijicho na mateto yote!
7Kwa hiyo ninyi mlitegemealo hupata heshima,
lakini wasiolitegemea jiwe hili, waashi walilolikataa,
hilihili huwa kwao jiwe la pembeni
kwamba:
8Ni jiwe la kujigongea
na mwamba wa kujikwalia.
Nao hujigonga, kwa sababu hawalitii Neno; navyo ndivyo, walivyowekewa.
10Kale hamkuwa ukoo mmoja,
lakini sasa mmekuwa ukoo wake Mungu.
Tena kale mlikuwa hamjui kuhurumiwa, lakini sasa mmekwisha kuhurumiwa.*Wageni wanaopita tu.
11*Wapendwa, kwa sababu m wageni wanaopita tu, nawaonya ninyi, mziepuke tamaa za miili zinazozigombanisha roho zenu!Kuutii ukuu.
13Kwa ajili ya Bwana utiini ukuu wote uliowekwa na watu: Akiwa mfalme, maana huwapita wote!Mateso yafaayo.
18Ninyi watumishi, watiini mabwana zenu na woga wote! Msiwatii wale tu walio wema na wapole, ila nao walio wakali!
21*Maana ndiyo mliyoitiwa. Kwani Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachilia kielezo, mpate kufuata nyayo zake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.