Ufunuo 6 - Swahili Roehl Bible 1937

Maana ya muhuri saba: 1. Mpanda farasi mweupe.

1Kisha nikamwona Mwana kondoo, akifungua moja ya zile muhuri saba. Nikasikia, mmoja wa wale nyama wanne akisema kama kwa sauti ya ngurumo: Njoo!2. Mpanda farasi mwekundu.

3Alipoifungua muhuri ya pili, nikasikia, nyama wa pili akisema: Njoo!5. Roho zao waliouawa kwa ajili ya Neno la Mungu.

9Alipoifungua muhuri ya tano, nikaona, mvunguni mwa meza ya Bwana zimo roho zao waliouawa kwa ajili ya Neno la Mungu na kwa ajili ya ushuhuda, walioushuhudia.6. Siku kubwa ya makali.

12Nikamwona, alipoifungua muhuri ya sita. Pakawa tetemeko kubwa la nchi, hata jua likawa jeusi kama gunia la makonge, mwezi wote ukawa kama damu,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help