Matendo ya Mitume 6 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuchaguliwa kwa wasaidiaji saba.

1Siku zile wanafunzi walipozidi kuwa wengi, Wagriki waliwanung'unikia Waebureo, kwani wanawake wajane wa kwao hawakutumikiwa kama wengine na kugawiwa kila siku vilivyowapasa.Stefano

8Naye Stefano alikuwa mwenye nguvu nyingi za kumtegemea Bwana, akafanya vioja na vielekezo vikubwa mbele ya watu.

9Kwa hiyo wakainuka wengine waliokuwa wa chama kilichoitwa cha Walibertino na watu wa Kirene na wa Alekisandria nao walitoka Kilikia na Asia, wakaulizana na Stefano.

10Lakini hawakuweza kuyabisha, aliyoyasema kwa werevu uliokuwa wa kweli na kwa Roho.Luk. 21:15.

11Ndipo, walipoleta watu wengine waliosema: Tumemsikia, alivyosema maneno ya kumbeza Mose na Mungu.Mat. 26:60-66.

12Wakawachafua watu na wazee na waandishi, wakamjia, wakamkamata, wakampeleka barazani kwa wakuu.

13Wakasimamisha mashahidi wa uwongo waliosema: Mtu huyu haachi kusema maneno ya kupakataa mahali Patakatifu, hata maonyo.Yer. 26:11.

14Kwani tumesikia, alivyosema: Yesu wa Nasareti atapabomoa mahali hapa na kuzigeuza desturi, Mose alizotupa.

15Ndipo, wote waliokaa barazani kwa wakuu walipomkazia macho, wakauona uso wake kuwa kama uso wa malaika.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help