1Kwa sababu tumepewa utumishi huo, nasi kwa hivyo, tulivyohurumiwa, hatuchoki;
3*Lakini Utume wetu mwema ukiwa umefunikwa, uko umefunikwa kwao walio wenye kuangamia;Nguvu ya kumtegemea Mungu.
7Hiki kilimbiko chetu tunacho, lakini kimo katika vyombo vya udongo, kusudi zile nguvu nyingi zilizomo zijulike kwamba: Ndizo zake Mungu, kwamba: Hazotoki kwetu sisi.
16Kwa hiyo hatuchoki, maana ikiwa miili yetu huchakaa, mioyo yetu hupata upya siku kwa siku.2 Kor. 4:10; Ef. 3:16.
17Kwani maumivu yetu yaliyo ya sasa hivi tu, yapitayo upesi, huzidi kutupatia utukufu usiopimika, usio na mwisho,Rom. 8:17-18; Ebr. 12:11.; Ebr. 11:1.
18tusipoyatazama yaonekanayo, ila yale yasiyoonekana. Kwani yaonekanayo hukaa siku chache tu, lakini yasiyoonekana ni ya kale na kale.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.