1 Wakorinto 8 - Swahili Roehl Bible 1937

Nyama za tambiko.

1Mambo ya nyama za tambiko twayajua kwamba: Sote tumeyatambua; tena: Utambuzi huleta majivuno, lakini upendo hujenga.

7Lakini sio wote walio wenye utambuzi huu. Kwa hivyo, walivyozoea kutambikia mizimu, hata sasa wako wanaozila zile nyama, zikiwa za tambiko, lakini mioyo yao iliyo minyonge huchafuliwa kwa kujua maana.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help