1Haya ndiyo maneno ya barua ya mfumbuaji Yeremia, aliyoiandika Yerusalemu kwenda kwao wazee waliosalia kwao waliotekwa na kwa watambikaji na kwa wafumbuaji na kwa watu wote wa ukoo huu, Nebukadinesari aliowateka Yerusalemu na kuwapeleka Babeli.
2Mfalme Yekonia na mama yake walipokwisha kutoka Yerusalemu pamoja na wakuu wa nyumba ya mfalme na wakuu wa Yuda na wa Yerusalemu na mafundi wa seremala na wahunzi,
21Hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, anavyosema kwa ajili ya Ahabu, mwana wa Kolaya, na kwa ajili ya Sedekia, mwana wa Masea, waliowafumbulia katika Jina langu mambo ya uwongo: Mtaniona, nikiwatia mkononi mwa Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, awaue machoni penu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.