1Nilisema: Nitaziangalia njia zangu, nisiukoseshe ulimi wangu; nacho kinywa changu nitakiangalia na kukifumba, asiyemcha Mungu akingali yuko mbele yangu.
7Sasa ningojee nini, Bwana wangu? Ninakungojea wewe peke yako.
8Katika mapotovu yangu yote niopoe, lakini usinitoe kuwa wa kusimangwa nao wapumbavu!
9Nitanyamaza tu, nisikifumbue kinywa changu, kwani wewe ndiwe uliyeyafanya.
12Bwana, yasikie maombo yangu! Vilio vyangu sharti vifike masikioni mwako! Nayo machozi yangu usiyanyamazie! Kwani mimi ni mgeni tu apangaye kwako, kama baba zangu wote walivyokuwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.