Matendo ya Mitume 11 - Swahili Roehl Bible 1937
Petero anayaeleza mambo ya Kornelio.
1Mitume na ndugu waliokuwako Yudea wakasikia, ya kuwa hata wamizimu wamelipokea Neno la Mungu.
27Ikawa siku zile, wakashuka wafumbuaji toka Yerusalemu kufika Antiokia.