1Yako mabaya, niliyoyaona chini ya mbingu, nayo huwalemea watu sana.
2Mungu akimgawia mtu mali na mema ya dunia hii na macheo, asijinyime lo lote, moyo wake ulitunukialo, lakini Mungu asipompa uwezo wa kuyala, ila mgeni akiyala, basi, yanamwia ya bure, tena humwuguza vibaya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.