1Enyi Wagalatia, hamna akili? Ni uganga gani uliowashinda, msiyatii yaliyo ya kweli? Mmeonyeshwa Yesu Kristo, mmtazame kwa mambo yenu, alivyowambwa msalabani.
2Neno hili tu nataka kuambiwa nanyi: Mmempokea Roho kwa kuyafanya Maonyo au kwa kuyategemea, mliyoyasikia?
3Imekuwaje, akili zikiwapotea hivyo? Mliyoyaanza Rohoni, mwataka kuyamaliza sasa miilini?
4Yale yote mmeteswa bure? Kweli siyo ya bure!Kuongozwa na Maonyo.
23*Lakini tegemeo lilipokuwa halijatokea bado, tulilindwa, tuyatii Maonyo, tukawa tumefungwa pamoja, tungoje, tegemeo litakapofunuliwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.