Mashangilio 68 - Swahili Roehl Bible 1937

Mungu huwashinda wachukivu wote.Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Dawidi wa kushukuru.

1Mungu akiinuka, hutawanyika walio adui zake, nao wamchukiao hukimbia machoni pake!

15Mlima wake Mungu ni mlima wa Basani, ule mlima wa Basani ulio wenye vilima huko kileleni.

16Ninyi milima yenye vilima kileleni juu, sababu gani mnautazama kwa kijicho mlima ule Mungu alioupenda, akae pale? Kweli Bwana atakaa pale kale na kale

17Magari yake Mungu ni maelfu na maelfu, hayahesabiki, Bwana anayo kule Sinai kwenye Patakatifu pake.

19Bwana na atukuzwe siku kwa siku! Mungu hututwika mzigo, lakini hutusaidia kuuchukua.

32Mwimbieni Mungu, ninyi wafalme wa nchi, pamoja wa watu! Mshangilieni aliye Bwana!

33Ni yeye akaliaye mbingu zilizoko kule juu, nazo ni za kale, ni yeye avumishaye sauti yake, ikinguruma na nguvu.

34Mkuzeni Mungu kuwa mwenye nguvu! Waisiraeli ndio, uliowatokea utukufu wake, nguvu zake ziko juu mawinguni.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help