1Neno lililo kuu katika hayo, tuliyoyasema, ni hili: Tunaye mtambikaji mkuu aliyeketi mbinguni kuumeni kwa kiti cha kifalme chenye ukuu.
9Halitakuwa, kama Agano lile lilivyokuwa,
nililolifanya na baba zao siku ile,
nilipowashika mikono, niwatoe katika nchi ya Misri;
kwani wao wenyewe hawakulishika Agano langu,
nami nikawakataa; ndivyo, asemavyo Bwana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.