1Ahitofeli akamwambia Abisalomu: Na nichague watu 12000, niondoke kumfuata Dawidi upesi na usiku.Dawidi anapashwa habari.
15Kisha Husai akawaambia watambikaji Sadoki na Abiatari: Ahitofeli amempa Abisalomu na wazee wa Waisiraeli mashauri haya na haya, lakini mimi nimewapa shauri hili.
16Sasa tumeni upesi kumpasha Dawidi habari za kwamba: Usilale usiku huu penye mbuga za nyikani, sharti uvuke mtoni, mfalme asimezwe na mabaya pamoja na watu wote waliokuwa naye.
17Yonatani na Ahimasi walikuwa wakikaa penye Chemchemi ya Wafua nguo; kwa hiyo kijakazi mmoja akaenda kuwapasha habari, nao wakaenda kumpasha mfalme Dawidi hizo habari. Ilikuwa hivyo, watu wasipate kuwaona wakiingia mjini.Dawidi anaingia Mahanaimu
24Dawidi alipofika Mahanaimu, ndipo, Abisalomu alipouvuka Yordani, yeye na watu wote wa Waisiraeli pamoja naye.
25Naye Abisalomu alimweka Amasa kuwa mkuu wa vikosi mahali pake Yoabu; Amasa alikuwa mwana wa mtu aitwaye Itira wa Isiraeli; ndiye aliyeingia kale kwa Abigaili, binti Nahasi, umbu la Seruya aliyekuwa mama yake Yoabu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.