5 Mose 7 - Swahili Roehl Bible 1937

Waisiraeli wanaonywa, wasifuate miungu mingine

1Bwana Mungu wako atakapokuingiza katika nchi hiyo, utakayoiingia kuichukua, iwe yako, ndpo, atakapong'oa huko mbele yako mataifa mengi, Wahiti na Wagirgasi na Waamori na Wakanaani na Waperizi na Wahiwi na Wayebusi, ndio mataifa saba yaliyo yenye watu wengi na yenye nguvu kuliko wewe.

12Itakuwa, mtakapoyasikia haya maamuzi na kuyaangalia, myafanye, naye Bwana Mungu wako atakutimilizia maagano na magawio, aliyowaapia baba zako.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help