1Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani kwamba: Yakobo ameyachukua yote yaliyokuwa ya baba yetu; katika hayo yaliyokuwa yake baba yetu ndimo, alimoyatoa hayo mapato yake yote.
43Labani akajibu na kumwambia Yakobo: Hawa wana wa kike ni wanangu, nao hawa wana ni wangu, nao hawa mbuzi na kondoo ni mbuzi na kondoo wangu, nayo yote, unayoyaona, ni yangu mimi. Basi, hawa wanangu wa kike nao hawa wana wao niwafanyie nini?
44Sasa njoo, tufanye agano mimi na wewe, lipate kutushuhudia mimi na wewe!
45Ndipo, Yakobo alipochukua jiwe, akalisimika kuwa kielekezo.
55Kesho yake Labani akaamka na mapema, akanoneana na wanawe wa kiume na wa kike na kuwabariki; kisha Labani akaenda zake kurudi kwao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.