1Mimi Paulo niliyeitwa kuwa mtume wa Kristo Yesu kwa hayo, Mungu ayatakayo, na ndugu Sostene
4*Nayavumisha siku zote mema yake Mungu, aliyowagawia ninyi, mwe katika Kristo Yesu.
5Kwa hivyo, mnavyomkalia, mwazipata mali zote zilizomo katika ufundisho na katika utambuzi wote;
6nao ushuhuda wa Kristo ukapata nguvu kwenu.
7Kwa sababu hii hakuna gawio, mnalolikosa mkiwa mnangoja, Bwana wetu Yesu Kristo atokee waziwazi.Magomvi ya Wakorinto.
10Lakini nawaonya, ndugu, kwa ajili ya Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, wote mseme mamoja, kwenu kusiwe na matengano, ila nguvu yenu iwe ile ya kutenda moyo mmoja na kutambua neno moja tu.Mbiu ya msalaba.
18Kwani neno la kuwambwa msalabani ndilo la upuzi kwao wanaoangamia, lakini kwetu sisi tunaookolewa ndilo la nguvu ya Mungu.
21*Kwani kwa huo werevu wake ulimwengu huu haukumtambua Mungu na werevu wake wa Kimungu ulio wa kweli; kwa hiyo Mungu amependezwa kuwaokoa wenye kumtegemea akiwatangazia mapumbavupumbavu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.