Mateo 19 - Swahili Roehl Bible 1937

Cheti cha kuachana.(1-9: Mar. 10:1-12.)

1Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, akaondoka Galilea, akaja mipakani kwa Yudea ng'ambo ya Yordani.

2Wakamfuata makundi mengi ya watu akawaponya huko.

3Nao Mafariseo wakamjia, wakamjaribu wakimwuliza: Iko ruhusa, mtu amwache mkewe kwa sababu yo yote?

5Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake,

agandamiane na mkewe, nao hao wawili watakuwa mwili

mmoja?

23Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake: Kweli nawaambiani: Ni vigumu, mwenye mali aingie katika ufalme wa mbingu.

24Tena nawaambiani: Masumbuko ya ngamia ya kupenya tunduni mwa sindano ni madogo kuliko yake mwenye mali ya kuingia ufalme wa Mungu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help