1Bwana akamwambia Mose kwamba:
2Tazama, nimemwita kwa jina lake Besaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa shina la Yuda.
3Nikamjaza roho yangu ya Kimungu na kumgawia werevu wa kweli na utambuzi na ujuzi wa kutengeneza kazi yo yote,
18Bwana alipokwisha kusema na Mose akampa kule mlimani kwa Sinai mbao mbili za Ushahidi, nazo zilikuwa za mawe zenye machoro, Mungu aliyoyachora kwa kidole chake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.