1Hivi vikamkasirisha Yona sana na kumchafua moyo wake,
4Bwana akamjibu: Je? Ni vema ukichafuka hivyo?
5Kisha Yona akatoka mle mjini, akakaa nje ya mji upande wa maawioni kwa jua, akajijengea kibanda kidogo, akakaa chini yake kivulini, mpaka aone, mambo ya mji yatakavyokuwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.