1*Alipoingia Yeriko akapita kati ya mji.
2Mle akaona mtu aliyeitwa jina lake Zakeo, alikuwa mkubwa wa watoza kodi, tena mwenye mali.
3Alitaka kumwona Yesu, alivyo, lakini hakuweza, kwa sababu watu walikuwa wengi, naye alikuwa mfupi kwa umbo lake.
4Akapiga mbio, aje mbele, akapanda mtamba, apate kumwona, kwani njia yake ilipitia papo hapo.
5Yesu alipofika hapo akatazama juu, akamwambia: Zakeo, shuka upesi! Kwani leo sharti nikae nyumbani mwako!
6Ndipo, aliposhuka upesi, akampokea na kufurahi.
7Lakini walioviona wakamnung'unikia wote wakisema: Ameingia nyumbani mwake mkosaji na kutua humo.Watumwa wa mfalme.(11-27: Mat. 25:14-30.)
11*Watu walipoyasikia hayo, akaongeza kusema na kutoa mfano. Kwa sababu alikuwa karibu ya Yerusalemu, watu wakawaza kwamba: Ufalme wa Mungu sharti utokee sasa hivi.
12Kwa hiyo akasema: Mtu wa kifalme alikwenda kufika katika nchi ya mbali, ajipatie ufalme, kisha arudi.Kuulilia mji.
41*Alipofika karibu, akautazama ule mji, akaulilia akisema:Kuwafukuza wachuuzi Patakatifu.(45-48: Mat. 21:12-16; Mar. 11:15-18; Yoh. 2:13-16.)
45Akapaingia Patakatifu, akaanza kuwafukuza wenye kuchuuzia pale,
46akawaambia: Imeandikwa: Nyumba yangu sharti iwe nyumba ya kuombea, lakini ninyi mmeigeuza kuwa pango la wanyang'anyi.Yes. 56:7; Yer. 7:11.
47Kisha akawa akifundishia Patakatifu kila siku. Lakini watambikaji wakuu na waandishi na wakubwa wa watu wakatafuta kumwangamiza,
48wasione njia ya kuyafanya; kwani watu wote pia walishikamana naye na kumsikiliza.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.