1Kisha akawaambia wanafunzi wake: Makwazo hayana budi kuja, lakini anayeyaleta atapatwa na mambo.
2Akitundikwa shingoni pake jiwe kubwa la kusagia, kisha atumbukizwe baharini, inamfaa kuliko kukwaza mmoja tu aliye mwenzao hawa wadogo.Mategemeo.
5Mitume wakamwambia Bwana: Tuongezee nguvu za kumtegemea Mungu!Malipo ya mtumwa.
7Kwenu yuko mwenye mtumwa wa kulima au wa kuchunga atakayemwambia huyo, akirudi toka shamba: Sasa hivi njoo, ukae chakulani?
8Hatamwambia: Andalia chakula, nitakachokila, ujifunge nguo, unitumikie, mpaka nitakapokwisha kula na kunywa! Kisha nawe ule, unywe?
9Je? Atamwambia mtumwa asante, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa?
10Vivyo nanyi matakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa semeni: Sisi tu watumwa wasiofaa, tumefanya tu yaliyotupasa kuyafanya!
Wenye ukoma kumi.11*Ikawa, alipokwenda Yerusalemu, akashika njia ya kupita katikati ya Samaria na Galilea.Siku ya Mwana wa mtu.
20*Alipoulizwa na Mafariseo: Ufalme wa Mungu unakuja lini? akawajibu akisema: Ufalme wa Mungu unapokuja, watu hawatauona kwa macho,
22Kisha akawaambia wanafunzi: Siku zitakuja, mtakapotunukia kuiona siku moja tu ya siku za Mwana wa mtu, msiione.
23Nanyi watu watakapowaambia: Tazameni huko! Tazameni hapa! msiende huko, wala msiwafuate!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.