1Bwana akamwambia Samweli: Utamsikitikia Sauli mpaka lini? Nami ndiye niliyemtangua, asiwe mfalme wa kuwatawala Waisiraeli. Jaza pembe yako mafuta, nikutume kwa Isai wa Beti-Lehemu! Kwani nimejionea mfalme katika wanawe.Dawidi anampendeza Sauli kwa kupiga zeze.
14Royo yake Bwana ikaondoka mwake Sauli, nayo roho mbaya iliyotoka kwa Bwana ikamhangaisha.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.