Waroma 16 - Swahili Roehl Bible 1937

Habari ya Febe.

1Nawaagiziani ndugu yetu Febe aliye mtumishi mke wa wateule wa Kenkerea,

2mmpokee katika Bwana, kama iwapasavyo watakatifu, tena mmsaidie jambo lo lote, atakalopaswa nanyi. Kwani mwenyewe alitunza wengi, hata mimi.

Salamu.

3Nisalimieni Puriska na Akila waliofanya kazi ya Kristo Yesu pamoja nami!Waepukeni wenye matata!

17Lakini nawahimiza, ndugu, mwakague wenye matata na makwazo! Hawaushiki ufundisho, mliofundishwa, mwaepuke na kuwaacha!

21Wanaowasalimu ninyi ni Timoteo aliye mwenzangu wa kazi na Lukio na Yasoni na Sosipatiro walio ndugu zangu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help