2 Mose 9 - Swahili Roehl Bible 1937

Pigo la tano: Kidei.

1Bwana akamwambia Mose: Nenda kwa Farao, umwambie: Hivi ndivyo, anavyosema Bwana Mungu wa Waebureo: Watu hawa walio ukoo wangu wape ruhusa kwenda zao, wanitumikie!Pigo la sita: Ndui.

8Bwana akamwambia Mose na Haroni: Jichukulieni majivu ya jikoni ya kuyajaza magao yenu! Kisha Mose ayasambaze juu angani machoni pake Farao.

9Ndipo, mavumbi yake membamba yatakapoieneza nchi yote ya Misri na kuwapata watu na nyama, watokewe na majipujipu ya ndui katika nchi yote ya Misri.Pigo la saba: Mvua ya mawe.

13Bwana akamwambia Mose: Kesho asubuhi na mapema ujidamke, upate kumtokea Farao na kumwambia: Hivi ndivyo, anavyosema Bwana Mungu wa Waebureo: Watu hawa walio ukoo wangu wape ruhusa kwenda zao!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help