Mashangilio 37 - Swahili Roehl Bible 1937

Mema, wabaya wayapatayo, hayakai; mema ya kweli ndiyo, waongofu wayapatayo.(Taz. Sh. 49:1-20; 73:1-28; Iyobu.)Wa Dawidi.

1Kwa ajili yao watendao mabaya usijichafushe moyo, wala wafanyao mapotovu usiwaonee wivu!

12Asiyemcha Mungu huwaza, jinsi atakavyomponza mwongofu, hukereza meno yake kwa ajili yake yeye.

13Lakini Bwana humcheka kwa kupaona, siku yake itakapofika.

21Asiyemcha Mungu hukopa, asiweze kulipa; mwongofu huweza kugawia na kuwapa watu.

22Kwani wabarikiwao naye Bwana huitwaa nchi, lakini waapizwao naye watang'olewa.

32Asiyemcha Mungu humwotea mwongofu akitafuta kumwua.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help