1Kura ya pili iliyotokea ilikuwa ya shina la wana wa Simeoni ya kuzigawanyia koo zao; nalo fungu lao lilikuwa katikati ya wana wa Yuda.
2Hilo fungu, walilolipata, liwe lao, lilikuwa: Beri-Seba na Seba na Molada,
3na Hasari-Suali na Bala na Esemu,
4na Eltoladi na Betuli na Horma,
5na Siklagi na Beti-Markaboti na Hasari-Susa,
6na Beti-Lebaoti na Saruheni; ndio miji 13 na mitaa yao.
7Aini, Rimoni na Eteri na Asani, ndio miji 4 na mitaa yao.
8Tena mitaa yote pia iliyoizunguka miji hii mpaka Bala-Beri ulio Rama wa kusini. Hii lilikuwa fungu lao wana wa Simeoni la kuzigawanyia koo zao.
9Hili fungu la wana wa Simeoni lilichukuliwa katika nchi, wana wa Yuda waliyopimiwa, kwani fungu lao wana wa Yuda lilikuwa kubwa zaidi, wasilikae lote. Kwa hiyo wana wa Simeoni walipata fungu lao katikati ya fungu lao wale.
Fungu la shiria la Zebuluni.10Kura ya tatu iliyotokea ilikuwa ya wana wa Zebuluni ya kuzigawanyia koo zao, nao mpaka wa fungu lao ulifika hata Saridi.
11Toka huko mpaka wao ulipanda upande wa baharini kufika Marala na kugusa Dabeseti, kisha ulikigusa kijito kile kinachopita mbele ya Yokinamu.
12Tena toka Saridi mpaka uligeukia upande wa mashariki, ndio maawioni kwa jua, ufike kwenye mpaka wa Kisiloti-Tabori, toka huko ulifika Daberati na kupanda Yafia.
13Toka huko uliendelea upande wa mashariki, ndio wa maawioni, ufike Gati-Heferi na Eti-Kasini, utokee Rimoni na kufika hata Nea.
14Kisha mpaka uliuzunguka mji huu upande wa kaskazini wa Hanatoni, upate kutokea bondeni kwa Ifuta-Eli,
15kuliko na miji ya Katati na Nahalali na Simuroni na Idala na Beti-Lehemu; miji ilikuwa 12 na mitaa yao.
51Haya ndiyo mafungu, mtambikaji Elazari na Yosua, mwana wa Nuni, na wakuu wa milango ya baba zao waliyowagawanyia mashina ya wana wa Isiraeli kwa kuyapigia kura huko Silo machoni pa Bwana pa kuliingilia Hema la Mkutano; ndivyo, walivyomaliza kuigawanya nchi hii.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.