1Katika mwaka wa 18 wa mfalme Yeroboamu, mwana wa Nebati, Abiamu akapata kuwa mfalme wa Wayuda.
2Akawa mfalme miaka 3 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Maka, binti Abisalomu.
3Akaendelea kuyafanya makosa yote ya baba yake, aliyoyafanya machoni pake, nao moyo wake haukuwa wote mzima upande wa Bwana Mungu wake kama moyo wa baba yake Dawidi.
4Lakini kwa ajili ya Dawidi Bwana Mungu wake akampa kuwa taa iwakayo mle Yerusalemu, akimwinulia mwanawe wa kumfuata, tena akiuacha Yerusalemu, usimame vivyo hivyo.(11-15: 2 Mambo 14:1-4; 15:16-18.)
11Asa akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana kama baba yake Dawidi.
12Akawatowesha wagoni wa patakatifu katika nchi yake, hata magogo yote ya kutambikia, baba zake waliyoyatengeneza, akayaondoa.Ufalme wa Waisiraeli: Nadabu na Basa.
25Nadabu, mwana wa Yeroboamu, akapata kuwa mfalme wa Waisiraeli katika mwaka wa pili wa Asa, mfalme wa Wayuda; akawa mfalme wa Waisiraeli miaka 2.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.