Yohana 20 - Swahili Roehl Bible 1937

Maria Magadalene kaburini.(1-18: Mat. 28:1-10; Mar. 16:1-11; Luk. 24:1-12.)

1Siku ya kwanza ya juma Maria Magadalene akaenda mapema kaburini, kukingali gizagiza. Alipoliona lile jiwe, limekwisha ondolewa kaburini,

2akapiga mbio, akamwendea Simoni Petero na yule mwanafunzi mwingine, Yesu aliyempenda, akawaambia: Wamemwondoa Bwana kaburini, nasi hatujui, walikomweka.Wanafunzi pamoja na Toma.

24Lakini Toma anayeitwa Pacha aliyekuwa mmoja wao wale kumi na wawili hakuwamo pamoja nao, Yesu alipokuja.

30Viko vielekezo vingi vingine, Yesu alivyovifanya mbele ya wanafunzi, visivyoandikwa katika kitabu hiki.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help