1Yosefu akamwangukia baba yake usoni, akamlilia na kumnonea.Kufa kwake Yosefu.
24Kisha Yosefu akawaambia ndugu zake: Mimi ninakufa, lakini ninyi Mungu atawapatia njia ya kuwatoa katika nchi hii na kuwapandisha kwenda katika hiyo nchi, aliyowaapia akina Aburahamu na Isaka na Yakobo kuwapa.Ebr. 11:22.
25Kisha Yosefu akawaapisha wana wa Isiraeli kwamba: Hapo, Mungu atakapowakagua ninyi, sharti mwichukue mifupa yangu kwenda nayo!2 Mose 13:19; Yos. 24:32.
26Kisha Yosefu akafa mwenye miaka 110, wakampaka manukato, wakamweka ndani ya sanduku huko Misri.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.