1Njaa ikaingia katika nchi hiyo kuliko ile njaa ya kwanza iliyokuwako siku za Aburahamu; ndipo, Isaka alipokwenda Gerari kwa Abimeleki, mfalme wa Wafilisti.
26Huko Abimeleki na rafiki zake Ahuzati na Pikoli, mkuu wa vikosi, wakamwendea na kutoka Gerari.Ndoa ya kwanza ya Esau.
34Esau alipokuwa mwenye miaka 40 akamwoa Yuditi, binti Mhiti Beri; kisha naye Basimati, binti Mhiti Eloni.1 Mose 36:2-3.
35Wote wawili wakamtia Isaka naye Rebeka uchungu mwingi rohoni.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.