Ezera 8 - Swahili Roehl Bible 1937

Wasafiri wenzake Ezera.

1Hawa ndio wakuu wa milango ya baba zao na hesabu ya vizazi vyao waliopanda na mimi kutoka Babeli katika siku za ufalme wa mfalme Artasasta.Mfungo.

21Hapo penye mto wa Ahawa nikatangaza mfungo, tujinyenyekeze mbele ya Mungu wetu na kumwomba, atuongoze sisi na watoto wetu na mali zetu zote kwenye njia inyokayo.

22Kwani nalipatwa na soni za kumwomba mfalme, atupe kikosi cha askari na wenye kupanda farasi, watusaidie njiani kupigana na adui, kwa maana tulikuwa tumemwambia mfalme kwamba: Mkono wa Mungu wetu huwasimamia wote wamtafutao, uwapatie mema; lakini nguvu zake na makali yake huwatokea wote waliomwacha.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help