1Neno la Bwana likanijia la kwamba:
2Mwana wa mtu, waelekezee wana wa Amoni uso wako, uwafumbulie yatakayokuwa!Ufunuo wa mambo, Wafilisti watakayoyaona.
15Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Kwa kuwa Wafilisti waliendelea kujilipiza, wakijilipiza na kutoza malipizi kwa mioyo yenye mabezo, wakayazidisha mabaya yao kwa kushika machukio ya kale na kale,Yes. 14:29; Yer. 47; Sef. 2:5.
16kwa hiyo Bwana Mungu anasema hivi: Mtaniona, nikiwakunjulia Wafilisti mkono wangu, niwaangamize hao Wakreta na kuyapoteza masao yao yaliyoko pwani kwenye bahari.1 Sam. 30:14.
17Nami nitawatoza malipizi makubwa na kuwapiga kwa makali yenye moto. Ndipo, watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitakapowatoza malipizi yangu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.