1Magawio ya Bwana nitayaimbia kale na kale,
6Ndipo, mbingu zilipoyatukuza mataajabu yako, Bwana, welekevu wako ukatukuzwa nao kwenye mkutano wa watakatifu.
7Kwani kule mawinguni yuko nani aliye mkuu kama Bwana? Nako kwenye wana wa Kimungu yuko nani afananaye na Bwana?
20Kale ulisema katika njozi nao waliokucha, ukawaambia: Yuko mwenye nguvu, niliyempa ushindaji; niliyemchagua nimemkweza, awapite wote ukuu.
39Kisha wewe umemtupa na kumkataa; yeye, uliyempaka mafuta, umemchafukia.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.