1Katika mwaka wa pili wa ufalme wake mfalme Nebukadinesari akaota ndoto, zikamhangaisha rohoni, kwa hiyo usingizi ukampotelea.
2Ndipo, mfalme alipoagiza kuwaita waandishi na waaguaji na waganga na Wakasidi, waje kumwambia mfalme maana ya ndoto zake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.