2 Mose 24 - Swahili Roehl Bible 1937

Kitabu cha Agano na damu za Agano.

1Kisha akamwambia Mose: Panda kwake Bwana, wewe pamoja na Haroni na Nadabu na Abihu, tena wazee 70 wa Waisiraeli, mniangukie mngaliko mbali!Watambikaji na wazee sabini wanamwona Bwana

9Kisha Mose na Haroni, Nadabu na Abihu, pamoja na wale wazee 70 wa Waisiraeli wakapanda,

10wakamwona Mungu wa Isiraeli, napo chini ya miguu yake palikuwa kama mahali palipotengenezwa kwa mawe ya safiro yaangazikayo au kama mbingu zenyeye kwa kutakata kwake.Ez. 1:26.

11Lakini hawa wateule wa wana wa isiraeli hakuwapatia kibaya cho chote kwa mkono wake, ila walikuwapo vivyo hivyo wakila, wakinywa, ijapo walikuwa wamemwona Mungu.

Mose anapanda tena mlimani.

12Kisha Bwana akamwambia Mose: Panda mlimani, ufike kwangu kuwa huku! Nami nitakupa mbao za mawe zenye Maonyo na maagizo, niliyoyaandika humo, upate kuwafunza.2 Mose 31:18.

13Ndipo, Mose alipoinuka pamoja na mtumishi wake Yosua, naye Mose akapanda mlimani kufika kwake Mungu.

14lakini wale wazee aliwaambia: Kaeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu! Tazameni, Haroni na Huri mnao! Mtu akiwa na neno, na aje kwao!

15Mose alipopanda mlimani, wingu likaufunika huo mlima.

16Nao utukufu wa Bwana ukaja kukaa juu ya mlima wa sinai, nalo wingu likaufunika siku sita. Siku ya saba akamwita Mose toka winguni.2 Mose 16:10.

17Nao utukufu wa Bwana ukaonekana machoni pao wana wa Isiraeli kuwa kama moto ulao huko juu mlimani.5 Mose 4:24; 9:3; Ebr. 12:29.

18Mose akaingia mle winguni katikati alipoupanda huo mlima. Mose akawa huko mlimani siku 40 mchana kutwa na usiku kucha.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help