Mashangilio 103 - Swahili Roehl Bible 1937

Mtukuze Bwana, roho yangu!Wimbo wa Dawidi!

1Mtukuze Bwana, roho yangu! Navyo vyote vilivyomo ndani yangu mimi na vilitukuze Jina lake lililo takatifu!

2Mtukuze Bwana, roho yangu! Usiyasahau mema yote, aliyokutendea!

3Alikuondolea manza zote, ulizozikora, nayo magonjwa yako yote akayaponya.

6Bwana hufanya yenye wongofu na kuwaamulia wote wakorofikao.

7Alimjulisha Mose njia zake, wana wa Isiraeli aliwajulisha matendo yake.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help