1Lakini kulikuwako hata wafumbuaji wa uwongo kwao wa ukoo wetu; vivyo hivyo hata kwenu wafunzi wa uwongo watakuwako, wataleta mafundisho wa kuangamiza watu, wamkane naye Bwana aliyewakomboa; hivyo watajiletea wenyewe mwangamizo utakaowafikia upesi.
17Hawa huwa kama visima visivyo na maji, tena kama mawingu yanayokimbizwa na ukali wa upepo; fungu lao, walilowekewa, ni lile giza jingi.
18Husema maneno makuu yasiyo na maana; hivyo, walivyozifuata tamaa za miili na kupitisha kiasi, huwaponza walioanza kuwakimbia wale wanaoendelea kujipoteza.
19Huwaagia uungwana, nao wenyewe wamo katika utumwa uuao; kwani mtu akitekwa huwa mtumwa wake yeye aliyemteka.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.