1Adamu, Seti, Enosi,Wana wa Esau na wafalme wa Edomu.
35Wana wa Esau: Elifazi, Reueli na Yeusi na Yalamu na Kora.1 Mose 36:10-19.
36Wana wa Elifazi: Temani na Omari na Sefi na Gatamu, Kenazi na Timuna na Amaleki.
37Wana wa Reueli: Nahati, Zera, Sama na Miza.
38Nao wa Seiri: lotani na Sobali na Siboni na Ana na Disoni na Eseri na Disani.1 Mose 36:20-30.
39Nao wana wa Lotani: Hori na Homamu, naye umbu lake Lotani ni Timuna.
40Wana wa Sobali: Aliani na Manahati na Ebali, Sefi na Onamu. Nao wana wa Siboni ni Aya na Ana.
41Wana na Ana: Disoni, nao wana wa Disoni: Hamurani na Esibani na Itirani na kerani.
42Wana wa Eseri: Bilihani na Zawani na Yakani. Wana wa Disoni: Usi na Arani.
43Nao hawa ndio wafalme walioshika ufalme katika nchi ya Edomu, wana wa Isiraeli walipokuwa hawajapata bado mfalme: Bela, mwana wa Beori; nalo jina la mji wake ni Dinihaba.1 Mose 36:31-43.
44Bela alipokufa, Yobabu, mwana wa Zera aliyetoka Bosira, akawa mfalme mahali pake.
45Yobabu alipokufa, Husamu wa nchi ya Watemani akawa mfalme mahali pake.
46Husamu alipokufa, Hadadi, mwana wa Bedadi aliyewapiga Wamidiani katika mbuga za Wamoabu, akawa mfalme mahali pake; nalo jina la mji wake ni Awiti.
47Hadadi alipokufa, Samula aliyetoka Masireka akawa mfalme mahali pake.
48Samula alipokufa, Sauli aliyetoka Rehoboti wa Mtoni akawa mfalme mahali pake.
49Sauli alipokufa, Baali-Hanani, mwana wa Akibori, akawa mfalme mahali pake.
50Baali-Hanani alipokufa, Hadadi akawa mfalme mahali pake, nalo jina la mji wake ni Pai; nalo jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matiredi, binti Mezahabu.
51Hadadi alipokufa, wakawa majumbe wa Edomu jumbe Timuna, jumbe Alia, jumbe Yeteti,
52jumbe Oholibama, jumbe Ela, jumbe Pinoni,
53jumbe Kenazi, jumbe Temani, jumbe Mibusari,
54jumbe Magidieli, jumbe Iramu; hawa ndio waliokuwa majumbe wa Edomu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.