Zakaria 4 - Swahili Roehl Bible 1937

Taa ya dhahabu na michekele miwili.

1Kisha yule malaika aliyesema na mimi akarudi, akaniamsha kama mtu anayeamshwa katika usingizi wake.

2Akaniuliza: Unaona nini? Nikasema: Nimechungulia, nikaona kinara kilicho cha dhahabu tupu, nacho chombo chake cha mafuta kilikuwa juu yake, nazo taa zake zilikuwa saba, tena penye hizo taa zilizoko juu yake palikuwa na mirija saba ya kutilia mafuta.

8Ndipo, neno la Bwana liliponijia la kwamba:

9Mikono yake Zerubabeli imeweka msingi wa Nyumba hii, nayo mikono yake ndiyo itakayoimaliza. Ndipo, utakapojua, ya kuwa Bwana Mwenye vikosi amenituma kwenu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help