1Upotovu husema ndani moyoni mwake yeye asiyemcha Mungu, kumwogopa Mungu hakupo machoni pake.
5Bwana, mpaka mbinguni unafika wema wako. welekevu wako unayafikia nayo mawingu.
10Ueneze wema wako kwao wakujuao nao wongofu wako kwao wanyokao mioyo!
11Miguu yao wajivunao isinijie, wala mikono yao wasiokucha isinifukuze!
12Kwao wafanyao maovu itakuja siku, watakapokuwa wameanguka, watakuwa wamebwagwa, wasiweze kuinuka tena.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.